Ungana nasi katika Utume

Featured Image

Je Ungependa kushiriki katika utume kwa kupeleka Injili kwa wale ambao bado hawajampokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha Yao?

Kiwa unasikia wito moyoni mwako wa kufanya hivyo basi jaza fomu hii hapa chini.